Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Chris Brown Kuwahamishia Mwanae na Mama Yake Nyumbani Kwake, Anataka Kumuona Mwanae Kila Siku

Chris Brown Kuwahamishia Mwanae na Mama Yake Nyumbani Kwake, Anataka Kumuona Mwanae Kila Siku

Chris Brown amepanga kumchukua mwanae pamoja na mama yake na kuishi nao nyumbani kwake, mtandao wa Hollywood Life umesema.

Chris Brown, 25, anataka mwanae wa kike mwenye umri wa miezi tisa, Royalty na mama yake, Nia Amey, 31 kuhama kutoka Houston wanakoishi sasa, ili waishi naye nyumbani kwake jijini Los Angeles.

Kwa mujibu wa vyanzo vilivyoongea na mtandao huo, Chris anataka kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 26 akiwa na Royalty.

Chris anataka kuhakikisha kuwa anamuona mwanae kila siku.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips