Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kimefikia Tamati yake

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kimefikia Tamati yake

Maoni Kutoka Kwa Mdau
Si kificho tena, bali ni uhalisia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake kabla hata ya uchaguzi mkuu wa oktoba kufikia.

Ni jambo ambalo wenyewe wanaweza lipinga lakini viashiria vyote vya chama hai havionekani kwa Chadema.

Hakuna uibuzi wa hoja zenye kuleta suluhisho la changamoto tulizonazo kama taifa, bali tunasikia tu mipasho kila kona ya nchi hii toka kwa viongozi wake.

Safu ya juu ya chama imekosa ubunifu na kubaki kulaumu kila mtu mpaka wale wasiohusika.

Si kificho tena bali ni uhalisia, Chadema imeishia njiani, kutokana na ulafi wa madaraka na ubinafsi.

Chadema kinapumulia mwavuli wa UKAWA na hoja ya katiba mpya , bila hiyo hawana la kutuambia watanzania.

By  Stroke/JFWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips