Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Bishop Piusi Erasto Ikongo Alikosoa Vikali Jukwaa la Wakristo, Asema Katiba Pendekezwa ni Nzuri Sana

Bishop Piusi Erasto Ikongo Alikosoa Vikali Jukwaa la Wakristo, Asema Katiba Pendekezwa ni Nzuri Sana

Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri 

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo 
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ..WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips