Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma
amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii
aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa
Video na Picha kuwekwa mtandaoni na Juma
Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa
Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.
Tupe Maoni yakoWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment