Zitto Kabwe Ameshinda Nafasi ya Kiongozi Mkuu wa- ACT Wazalendo
Hongera sana ndugu zitto zuberi kabwe kwa kujinyakulia nafasi ya
kiongozi mkuu, kazi iliyoko mbele yako ni kukitangaza chama kitaifa ili
uweze kuwa na wabunge na mdaiwani-octoba 2015,Hakuna kazi kubwa kama
kuwa kiongozi inahitaji busara na hekima ya hali juu
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment