Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku huu akiwa nyumbani kwake.
Akizungumza na EATV, mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connection Madee, amesema kuwa bado hajafahamu chanzo cha kifo ila amefariki ghafla usiku huu akiwa nyumbani na msiba upo Manzese Tip Top
RIP Abdu Bonge
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment