Mwimbaji Nay wa Mitego ametimiza ahadi aliyosema kuwa atapima DNA kujua
kama kweli mtoto aliyezaa na Siwema ni wake ama la baada ya Siwema kudai
kuwa mtoto huyo si wake bali ni wa Obasanjo....
Nay wa Mitego amehabarisha kuwa Amepima DNA kwa Mwanakemia mkuu na Kuambiwa kuwa majibu yatatoka mwezi wa nne tarehe 8 ......
Kila la Heri Bwana NayWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment