Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Kuzimia na Kuzinduka Gwajima sasa Atakiwa Kwenda Kujieleza Kwa Mkuu wa Wiliya ya Kinondoni Paul Makonda

Baada ya Kuzimia na Kuzinduka Gwajima sasa Atakiwa Kwenda Kujieleza Kwa Mkuu wa Wiliya ya Kinondoni Paul Makonda

Baada ya Jana Askofu Gwajima kuzimia wakati akijojiwa na Polisi kuhusu kumtukana Hadharani Askofu Pengo , Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda naye amemtaka Askofu Gwajima kufika ofisini kwake Jumatatu Kujieleza kwanini alitoa Maneno hayo machafu kwa Askofu mwenzake ....

"Hatuamini kama kweli imefikia wakati sasa nyumba za ibada zinatumika kama sehemu za kupashana badala ya kuhuburi injili ili watu waokoke"..alisema Paul Makonda WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips