Siwema na Mpenzi wake Nay wa Mitego |
Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:
"Daah,siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt,iko hivi:@nay,naomba usisahau kama niwewe uliniambia nitafute boyfrnd..tena ulintukania hd mamang marehem,nilikushukuru tu..nilikaa kimya kwa siku kadhaa but nilirudi tena kukuomba msamaha..mamaako.mzazi anajua,dadaako tina anajua...unasema umenifumania,jaribu kumuogopa mungu,we unakuja kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa maziwa..leo unasema umekuta mi nasex kitandani..dahh ,ongea ukweli..nay mimi ndio nilikua nakupenda,hukuwah onyesha mapenzi hata siku1 kwangu,nilikua natetea penzi letu sanaaa..mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo ,wallah nilikupenda mungu anaona mpaka nikamkana yule baba alikua ananipa kila kitu nikaamua kua nawewe,sikuwah kuijua shida..naezasema ulinisamehe kinafiki caus tangia hapo hadi najifungua sikua na raha..huu sio mwili wangu mimi,kila siku mamaako alikua analia na mimi ,okey haijalishi umenifumania au nini caus tayari ulishanitamkia umenchoka nay..namimi sio mjinga kusex sasahiv mwanangu akiwa mdogo..nmebeba mimba miez9,nmezaa kwa uchungu..niwewe ndo ulisababisha mimi nisimnyonyeshe mwanangu cz sikuaeza kupata maziwa kwasababu ya stress..leo unatangaza umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari nimali yangu,where's ma lexus,verrosa?kweli hujawah kunipiga lakin ulikua unaninyanyasa .mwanamke yyte ambae angekua mimi lazima angecheat tu,wewe huyohyo unafanya enterview unaulizwa kuoa unasema huwez utashuka kimziki akati mimi niko kwako na mtoto mdogo...na moyo gani?vingap umenfanyia?siwez ongea kila kitu ila jua umenrudisha nyuma saaana tu.mamaako shahidi wangu!!...unakumbuka ulikua unaniambia kila siku wewe unawatoto,nikwel unao,wengi tu nawajua sio hawa watatu unaowasema..waseme wooote..
Sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako ,babake ni obasanjo.yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nnamengi tu,naumia sana sanaa!! ,pls nisiulizwe kitu tena wapenzi,nawapenda n thanx"WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment