Mnaomuonea huruma huyo ‘so called’ Mziwanda ni wanafiki mapenzi ya mtu mbili kama anapigwa vitasa na anatulia anajua mwenyewe alichokifanya na atulie, kuliko kusema ni umasikini kwani yeye ni kiwete? ina maana hawezi kutafuta kazi akapata mpaka awe msingi kiuno? ‘hell no’ muacheni apokee makonde, vitasa, nk, vijana kama yeye wapo wengi tuu kazi ‘kujisexisha’ na kuwa msingi kiuno mjini ndio wanafanya taifa linadidimia kwa umasikini, vijana wenye nguvu wanatakiwa wafanye kazi matokeo yake wanajipamba tu , halafu mnalalmika ooh wazee hawatuachii nafasi maofisini watawachiaje na nyie siku hizi mnapenda ‘slope full’ kutelezaa…” Mwisho wa kunukuu
Jamani, haya si maneno yetu ni maneno ya mwanadada Sintah tuliyoyanukuu kama yalivyo toka kwenye blog yake. Sana sana ‘tume-edit’ tu kuweka Kiswahili fasaha ili baraza la Kiswahili lisije sema tunachangia watoto kupata ‘FAIL’.
Wewe una maoni gani juu ya kauli yake hii? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment