Azam TV Pesa Inaongea ..Watengeneza Studio Kama Zile za BBC na CCN..
Studio mpya za Azam TV ambazo JK anazindua leo....Ni sawa na zile za
Skysport, Al Jazeera, BBC, CNN na nyinginezo...hazipo katika level zetu
tulizozoea....zile screen za kuchambua mpira zipo...Money makes the
world goes around....
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment