Taarifa zimemfikia Soudy Brown kuwa kuna mgogoro kati ya msanii Samir toka Morogoro na meneja wake ambaye anaitwa Sadiq huku story zikifafanua kwamba wawili hao hawana maelewano kwa zaidi ya miaka miwili.. Chanzo kimetajwa kwamba ni pesa.
Samir amesema hawana maelewano kwa kuwa vitu vingi haviendi kama walivyokubaliana, Sadiq hafanyi
kazi kama Meneja, huku maamuzi mengi anayoyafanya hamshirikishi kitu
ambacho kinamuweka kwenye wakati mgumu kimaisha na kimuziki pia.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza story yote…
0 comments:
Post a Comment