Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Nyota ya kijani yaniharibia ndoa, Sina Hamu na Tendo la Ndoa Tena..Ushauri Please
Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa
mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena
na tendo sina kabisa sijisikii chochote nikiwa uwanjani kwa fundi
selemara!
Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment