Peter Msechu ameamua kuleta ladha nyingine juu ya hit single ya ‘Sophia’ ambayo
ilifanywa mwanzoni na Ben Pol, Msechu alipitia kwenye mikono ya Ima The
Boy na baada ya dakika tatu akatoa hiki kitu unachoweza kukisikiliza na KU DOWNLOAD
hapa chini.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment