Collabo iliyowaweka pamoja Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz na Victoria Kimani- ‘Prokoto’ ni
hit ambayo ilifanya vizuri sana.. Wote ni wasanii ambao ngoma zao
zimepata nafasi adimu ya kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya TV nchi
za East Africa, Africa na nje ya Africa pia, hiyo ni ishara kwamba YES
collabo iliwakutanisha wakali wote.
Tuliona story ya Victoria kufanya movie, kwani ilimaanisha muziki nd’o basi tena?
Jibu ni hili, anafanya vyote kwa wakati
mmoja, kama ulimiss Fleva yake kwenye muziki huu ni muda wa mimi kushare
na wewe wimbo wake mpya, karibu kuisikiliza ‘Two of Dem‘, audio mpya kutoka kwake..
Kama hukuona movie aliyocheza unaweza kucheki hapa Trailer yake- ‘7 Inch Curve‘
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Kama hukuona movie aliyocheza unaweza kucheki hapa Trailer yake- ‘7 Inch Curve‘
0 comments:
Post a Comment