Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » New Audio: Download na sikiliza Jokate ft Ice Price LEO LEO

New Audio: Download na sikiliza Jokate ft Ice Price LEO LEO

IMG_20150320_235441-560x600
Tumezoea kumuona katika video mbalimbali akipewa shavu kimtindo, ‘Kings & Queens’ ya AY, baadae tukamsikia kwenye ‘Kaka na Dada’ aliyoshirikishwa na Lucci, jana ilikuwa birthday yake, naona kaona aitumie siku hiyo rasmi kutangaza anaingia kwenye muziki.
Hapo namzungumzia Jokate Mwegelo ana wimbo wake mpya ‘Leo Leo‘ ambao aliuachia katika show ya XXL.
Tunaona mastaa wa Bongo waliohit ndio wanafanya collabo na Wanigeria, Jokate kaanza na collabo Nigeria moja kwa moja- Feat Ice Prince.
Producer ni Mbongo wetu Tudd Thomas.
IMG_20150320_235441-560x600
Tumia time yako kusikiliza collabo hiyo hapa mtu wangu…
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips