Una lipi la kusema juu ya hilo? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Matukio
» Mchungaji Matatani Baada ya Kuwashawisha Wafuasi Wake Kukata Sehemu zao za Siri ili Kuwa Karibu na Mungu
Mchungaji Matatani Baada ya Kuwashawisha Wafuasi Wake Kukata Sehemu zao za Siri ili Kuwa Karibu na Mungu
Mhubiri maarufu wa dini India ambaye ana wafuasi zaidi ya milioni
hamsini duniani Gurmeet Ram Rahim Singh anakabiliwa na mashtaka ya
kusababisha majeruhi kwa tuhuma za kuwashawishi wafuasi wake 400 kukata
sehemu zao za siri ili waweze kuwa karibu na Mungu. Singh aliwaambia
wafuasi wake kwamba wale ambao wanaotekeleza amri hiyo watakuwa na uwezo
wa kumuona Mungu. Wafuasi wa Singh walikata sehemu zao za siri kwenye
Hospitali ambayo yeye anaimiliki
Una lipi la kusema juu ya hilo? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Una lipi la kusema juu ya hilo? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment