Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi Kuhojiwa juu ya Kutoa Lugha Chafu Dhidi ya Askofu Pengo

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi Kuhojiwa juu ya Kutoa Lugha Chafu Dhidi ya Askofu Pengo

Gwajima na Team yake
Pamoja na leo kipande cha sauti kusambaa kuwa Gwajima angejisalimisha Jumatatu kwa kuwa kwa sasa yupo Arusha na kuwataka waumini wake kufika polisi Jumatatu bila kufanya vurugu. Kwa sababu ambazo hazijatolewa bado, askofu Gwajima amejisalimisha kituo cha Polisi tayari leo Ijumaa ili kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips