Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha



Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari.
 Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye
amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.

 Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua anazisikia kama watu wengine.
“Nina mtoto mmoja, nina mtoto mmoja anaitwa Lizy na kama miaka 10 hivi. Wewe ndo unanieleza mimi kama amejifungua, kama amejifungua ni jambo jema na jambo la kumshukuru Mungu,” Mbasha alikiambia kipindi cha Sunrice cha Times FM.

Kazi ipo hapo !
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips