Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wema Sepetu Amtusi Shemeji wa Zari King Lawrence Kwa Kuvujisha Picha Akiwa na Mume wa Zamani wa Zari

Wema Sepetu Amtusi Shemeji wa Zari King Lawrence Kwa Kuvujisha Picha Akiwa na Mume wa Zamani wa Zari

Wema , Ivan and King Lawrenc


Wema Sepetu Amemtusi King Lawrenc ambaye ni rafiki wa Mume wa Zamani wa Zari the Lady Boss Ivan Baada ya Kuvujisha Picha wakiwa wote Club wakila Maraha , Wema Sepetu akiongea na Gazeti moja maarufu Amesema haya :

“Yule ni...(tusi) ameniboa kweli...(tusi) unajua vitu vingine vya kipuuzi kabisa, wanatafuta kiki zisizokuwa za msingi wa...(tusi)” alisema Wema.Wema alisisitiza kuwa hataki kumzungumzia sana King kwani anaamini akifanya hivyo atamuongezea umaarufu ambao amekuwa akiutafuta muda mrefu.

King Lawrence amekuwa akimtusi Diamond mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii huku akionesha jeuri ya fedha kwa kile kinachoonekana kuumia kwake roho kwa kijana wa Tandale kumchukua shemeji yake Zari, aliyezaa na Ivan watoto watatu.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips