Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mtoto Afungwa kwa Kutumia Mnyororo Kwenye Kitanda cha Chuma kwa Muda wa Miaka Miwili

Mtoto Afungwa kwa Kutumia Mnyororo Kwenye Kitanda cha Chuma kwa Muda wa Miaka Miwili


Tukio hilo limetokea jana Iringa Mjini maeneo ya Kihesa,baada ya majirani kutoa taarifa kwenye serikali ya mtaa kuwa kuna babu anamfungia ndani na kumnyima chakula mtoto wake mwenye miaka kumi ambaye ni mlemavu wa akili.

Picha kama mnavyoiona hapo, dada wa kazi wa binti babu huyo sasa bado yupo kituo cha polisi hapa mjini kwa mahijiano zaidi.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips