Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mzazi Awatishia Mabinti zake Wasipo Olewa Hadi Machi Wajiandae Kugegedwa na yeye

Mzazi Awatishia Mabinti zake Wasipo Olewa Hadi Machi Wajiandae Kugegedwa na yeye

Wadau nimeombwa kwenda kusuluhisha mgogoro wa familia ya jirani kesho asubuhi. Katika hali isiyo ya kawaida mabinti watatu wa familia wamenijia usiku huu,kwamba baba yao amewatishia kwamba ifikapo machi wawe wameolewa wote vinginevyo....



 atawagegeda wote watatu kila mmoja kwa muda wake.

Mabinti hao mmoja ana miaka 30 , wa pili 27 na wa mwisho 24 . Maelezo ya mabinti hao wanasema kweli mzazi wao huyo kadhamiria kwani mara nyingi mama yao anapokuwa hayupo wakipita karibu naye huwa anawapiga kofi kwenye makalio .

Hao mabinti wameeleza matukio mbalimbali ambayo yanaonyesha dhahiri kwamba baba yao amedhamiria kweli kuwagegeda kama atapata nafasi .

Huyu binti wa kati ameeleza kwamba mara kwa mara babake huwa anamsifia kwamba ana makalio makubwa yanayopendeza na kuna siku alimwita chumbani ampelekee maji akamshika mkono bahati nzuri akakimbia.

kila binti ameshawahi kukutana na maswahibu hayo. Kinacho onekana kumponza mzee huyo ni tamaa zake tu za kishetani wazee wa kidigitali ni shida.

Sasa nimeona kabla sijafanya lolote niwashirikishe wadau.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips