Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno WIFI na siyo SHEMEJI ambalo huwa linatumika kwa mvulana!
Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment