Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Tundu Lissu: Dar es Salaam Mnatutia Kichefuchefu

Tundu Lissu: Dar es Salaam Mnatutia Kichefuchefu


Akiwa mgeni mgeni Rasmini katika uzinduzi wa Chaso N.I.T Mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lisu Akiongozana na Mbunge wa Ubungo Mweshimwiwa John Mnyika, Amesema haoni haja ya kuyashangilia na kushangilia Matokeo na Ushindi Ambao Ukawa wameupata ktk Matokeo ya Uchaguzi wa Serikari za Mitaa na Vitongoji Vya Jiji la Dar es salaam Kwani CCM imetugalagaza vibaya sana alisema.

Pia Mh Tundu Lisu aliongeza kuwa Katika Historia Nchi zote Zilizofanya Mapinduzi ya Kisiasa Huanzia katika Miji mikuu Na mji kuu wa Tanzania ni Dar es Salaam Dodoma ni danganya Toto Hivyo basi ili MaCCM Yaweze kutoka Madarakani Mh Tundu Lisu Amewataka Wakazi wa Dar es salaam na Vitongoji Vyake Waache Kututia Kichefuchefu ktk Matokeo ya Chaguzi haswa Tunapoelekea ktk Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba, akitolea mifano katika Mikoa ya Kaskazini wakiongozwa na Arusha, Pamoja na Nyanda za juu Kusini wakiongozwa na MBEYA,

Pia aliwataka wakazi wa Dar es salaam Waige mfano wa Jimbo lake Singida mashariki Walivyo wagalagaza MaCCM. Ktk Uziduzi huo Pia Mweshimiwa Tundu Lisu aliwagawia Wanafunzi zaidi ya 120 kadi za CHADEMA. hongeleni sana N.I.T Vyuo vingine viige Mfano Kutoka Kwenu.

Naomba kuwasiliza.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips