Una Maoni Gani Kuhusu Hili na hizi Team Mbili ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
UDAKU
» Team Zari Walipa Mapigo Haya Sasa Picha za Wema Sepetu za Kurudia Nguo Zawekwa Hadharani
Team Zari Walipa Mapigo Haya Sasa Picha za Wema Sepetu za Kurudia Nguo Zawekwa Hadharani
Baada ya Team Wema Sepetu Kuweka Picha Mtandaoni zikionyesha Zari kuwa
huwa anarudia nguo moja mara kwa mara na kumponda na Kusema ni Lady boss
wa Aina Gani ..Team Zari na wenyewe wameibua Picha mbali mbali za Wema
Sepetu Zikionyesha Amerudia Nguo Kadhaa Katika Matukio Tofauti Umbu
Jionee .....
Una Maoni Gani Kuhusu Hili na hizi Team Mbili ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Una Maoni Gani Kuhusu Hili na hizi Team Mbili ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment