Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Siri Imefichuka, Mimba ya Aunty Ezekiel Sio ya Moze Iyobo Kama Wengi Wanavyodhani

Siri Imefichuka, Mimba ya Aunty Ezekiel Sio ya Moze Iyobo Kama Wengi Wanavyodhani



Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya 'Young Billionaire', Aunty Ezekiel kuwa amenasa ujauzito wa dancer wa mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnums aitwaye Moze Iyobo. Licha ya dancer huyo kuinadi mimba ya mpenzi wake huyo mitandaoni , Aunty ameibuka na kudai ujauzito alionao sio wa dancer huyo....
kama watu wanavyojua bali ni ya mtu mwingine ambaye kwa mujibu wa Aunty amesema atajulikana soon baada ya kichanga hiko kilichopo tumboni kuzaliwa.

Paparazi: Mambo vipi? Kwema lakini Aunt? Ehne leta maneno, mna mipango gani na baba mtoto mtarajiwa, Iyobo?

Aunt:Hahaha mimi mzima! Kuhusu Iyobo, mh! Kanipa mimba! Si kweli, nitakapojifungua nitamtaja baba wa mtoto wangu.

Paparazi: Mbona Iyobo amekuwa akijinadi kwenye vyombo vya habari kuwa mzigo ulionao ni wake?

Aunt: Mh! Jibu langu ni hilo nililokupa.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips