Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Shamsa Ford 'Mtu Akiniiita Mshamba Atakuwa Anajisumbua tu, Hivi Ndivyo Nilivyoamua Kuishi'

Shamsa Ford 'Mtu Akiniiita Mshamba Atakuwa Anajisumbua tu, Hivi Ndivyo Nilivyoamua Kuishi'


Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku.


Akizungumza na GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.

Mimi sijawahi kumsumbua mtu hela ya kula hata siku moja kisa tu eti sijichanganyi na wanawake wa mjini, mimi familia yangu ndiyo namba moja, ndivyo nilivyoamua kuishi mtu akiniiita mshamba atakuwa anajisumbua tu,” alisema Shamsa.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips