Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lazidi Kuchanua Sasa Lahamia Kitandani

Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Lazidi Kuchanua Sasa Lahamia Kitandani

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project  flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.....



Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.

Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema kuwa baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa wema kula raha na alikuwa shemeji yake, huku wengine wakisema wawili hao wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema alipokuwa na Diamond.

Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena Ommy ni HB kushinda jamaaWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips