Rubani wa ndege hii, ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.
Ni jet fighter, ilikua kwenye routine exercise za kila wiki. Zilikuwa zinaruka mbili kwa formation. Wakati zina take-off moja ikaanza kuwaka moto nyuma. Rubani alitoka kwa ejector seat, amepona. Ndege imeharibika vibaya.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment