Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mnaniboa Sana Mnaotoa R.I.P Kwenye INSTAGRAM Alafu Hamtokei Msibani -Shamsa Ford

Mnaniboa Sana Mnaotoa R.I.P Kwenye INSTAGRAM Alafu Hamtokei Msibani -Shamsa Ford


"Morning my people..samahani kama nitakuwa nawakwaza but sometimes ni bora kutoa dukuduku lako..To be honest huwa wananiboa wale wa R.I.P WA INSTA...inaeleweka kwamba kutokana na majukumu ya kimaisha si kila kitu utaudhulia.sometimes inaweza ikatokea msiba labda umesafiri au unaumwa au dhalula yoyote inaeleweka
But hawa wenzangu na mimi msiba unatokea utaona R.I.P kubwa na kwenye msiba haendi..na si kwamba kabanwa wala,maana baadaye mnaweza kutana viwanja.isingekuwepo INSTA je.? Weka R.I.P na kama hujabanwa nenda msibani.nawajua hawa maana insta ataweka hadi vialama vya kulia but msibani halitokei ila usiku unakutana nalo club."
Unazungumzaije hili? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips