Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mashine Inayomsaidia Kupumua Mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina.

Mashine Inayomsaidia Kupumua Mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina.


Imeripotiwa kuwa mashine inayomsaidia kupumua mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina imezimwa,hataihvyo madai hayo yamekanwa na familia yake.


Bobby Kristina amekuwa katika koma ya kimatibabu tangu apatikane nyumbani kwake akiwa uso wake upo ndani ya maji nkatika beseni la kuogea na asiye na fahamu.
Babaake Bobby Brown anadaiwa kuwa katika hospitali hiyo ya Emory University ambapo mwanawe anapata matibabu pamoja na watu wa karibu wa familia.
Imeripotiwa katika Gazeti la Mail online kwamba mashine inayomsaidia kupumua ilizimwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ,lakini familia yake imekana hilo na kusema bado msichana huyo yuko hai.
Bobby brown amesema kuwa anamuombea mwanawe na alipoulizwa alikuwa anaendeleaje, alijibu kusema kwamba yuko vyema.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips