Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kama Ulikuwa Hujui Uzuri wa Lulu Michael Umetokea Kwa Huyu Mwanaume, Lulu Amwita Handsome

Kama Ulikuwa Hujui Uzuri wa Lulu Michael Umetokea Kwa Huyu Mwanaume, Lulu Amwita Handsome

Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa
na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema na kujinasibu kuwa wanafanana.

"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy & I....!Mzee Michael, Mzaa Chema, My Twinnie"

Asante sana Lulu kwa kushea nasi picha hii, tume-enjoy, hakika hii ni ThrowBack nzuri zaidi ya leo, kweli huyu ni pacha wako. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips