Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Hatujakama Jambazi yoyote Mapango ya Amboni Tumewazidi Nguvu Wakatutoroka-Polisi

Hatujakama Jambazi yoyote Mapango ya Amboni Tumewazidi Nguvu Wakatutoroka-Polisi

Jeshi la Polisi nchini, limesema majambazi waliokuwa wamejificha katika mapango ya Amboni nje kidogo ya jiji la Tanga wamekimbia.
Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Kamishna Paul Chagonja, akizungumza..
jana alisema majambazi hao wamekimbia baada ya kuzidiwa nguvu na askari wa jeshi lake wanaoshirikiana na Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Nini unataka kuliambia jeshi la polisi? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips