BREAKING NEW: Watu wawili Watiwa mbaroni na raia wenye hasira kali mda mchache uliopita maeneo ya Mlimani City mkabala na Chuo cha UD jijini Dar Es Salaam baada ya kufanya jaribio la kumpora kijana mmoja simu yake aina ya smart phone huku wakiwa juu ya pikipiki (Bodaboda) mmoja anaendesha na mmoja anakusanya simu za watu! ama kweli tamaa mbaya, Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa watu hao walimpora mtu mmoja simu jana jioni wakafanikiwa kukimbia nayo, wakazi wa maeneo yale wakasema watu hao wameshafanya matukio ya aina hio mara nyingi sana tena wakitumia Pikipiki hio hio almaarufu kama Boxer hapo pichani imeungua yani imebakia jivu na plet namba tu!
MAMBO YALIVYOKUWA:
Mtu alieibiwa simu jana kafanya mchongo na wenzake Leo wakaja kutega mitaa ileile na simu kubwaaaaa..! Yani kaitumia kama chambo alajidai anaongea na simu kizembe barabarani washkaji walivyoona hivyo si wakakurupuka na pikipiki yao kama ilivyo ada! Mara kujaribu kukwapua ndipo mwisho wa wizi ulipotokea, ila mmoja kanusurika kakimbia mmoja kaitiwa mikononi mwa raia kibiriti kukafanya kazi yake.

By masai nyotambofu.
0 comments:
Post a Comment