Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Vurugu na Vituko Vingi Mjini eti Mwanamuziki BABY MADAHA Nae Anatamani Kuitwa Mama Sasa

Baada ya Vurugu na Vituko Vingi Mjini eti Mwanamuziki BABY MADAHA Nae Anatamani Kuitwa Mama Sasa


Udaku Special Blog: MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.



Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.

Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini uamuzi wake si wakufuata mkumbo kama ambavyo wengi watafikiria.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips