Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Kupigana Kibuti Isabelah Atoa Siri Kuhusu Kuharibika Kwa Mimba Nne za Kalama, Asema Damu zao zilikuwa Haziendani

Baada ya Kupigana Kibuti Isabelah Atoa Siri Kuhusu Kuharibika Kwa Mimba Nne za Kalama, Asema Damu zao zilikuwa Haziendani


Laurent Samatta/Uwazi
BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba zaidi...

ya nne za Karama na zote zikaharibika.

Akifunguka mbele ya paparazi wetu, Bela alisema alikuwa akishika mimba hizo lakini zote zilikuwa zikiharibika baada ya kufikisha miezi minne tu.

“Nilikuwa napenda kumzalia Karama lakini kila alipokuwa akinipa mimba zote zilikuwa zikiharibika, ameshanipa mimba nne na zote zikawa hivyohivyo. Sijui lakini labda damu zetu zilikuwa haziendani kwenye mimba,” alisema Bela.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips