Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ali Kiba 'Ngoja Nikwambie Ukweli, Sidhani Kama Ninaweza Kuja Kufanya Kolabo na Diamond Platnumz'

Ali Kiba 'Ngoja Nikwambie Ukweli, Sidhani Kama Ninaweza Kuja Kufanya Kolabo na Diamond Platnumz'


Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo...ila ameendelea kusema ..


Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti moja la kila siku.

Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja kumshirikisha staa wa Marekani, Chris Brown, Alikiba alisema: "Uwezekano wa kufanya upo kwa sababu kila kitu ni mipango kwa hiyo naweza kufanya kolabo na wasanii wa kimataifa na mashabiki watarajie kufanya hivyo.”WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips