Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Siasa Zamzidi Nguvu Afande Sele, Mziki ndo Basi Tena Majaliwa

Siasa Zamzidi Nguvu Afande Sele, Mziki ndo Basi Tena Majaliwa


Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, amekiri kuwa tayari kwa upande wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena akitoka na rekodi mpya.

Afande Sele amesema kuwa, sanaa ya muziki ambayo kwake anaichukulia kama mke mkubwa, imeifungua milango kwa mke mdogo ambaye ni siasa, katika mwaka huu wenye harakati nyingi zaidi, ujio wake mpya kisanaa ukitarajiwa kuanzia mwishoni mwa mwezi wa pili.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips