Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Friday, April 18, 2014 YALIYOJIRI MJINI: MARTINE KADINDA AMUITA LULU MICHAEL NYAU, SOMA KISA CHA KUFANYA HIVYO HAPA

Friday, April 18, 2014 YALIYOJIRI MJINI: MARTINE KADINDA AMUITA LULU MICHAEL NYAU, SOMA KISA CHA KUFANYA HIVYO HAPA

Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau.

Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Mwandishi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:

“Yule kwangu ni mdogo, nimemlea tangu

akiwa anasoma sekondari pale Perfect Vision Ubungo, nimetumia neno nyau kama utani lakini nikimaanisha mdogo kwangu.”

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips