Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Ndio nyota
Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilshakua nakuona
STORY
Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa
kwanza afanye hivo!!Jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopta na
alikua mambo safi kwa sabab bahati ya hela anayo!! Ila baada ya kumuoa
bidada mambo mengi yakawa yanadolola na ameshuka kawa kapuku kila
analofanya linabuma!!
Sasa Siku chache zlizopta mke wake huyo kamshauri aongeze mke mwingine
labda yy hana nyota ya mafanikio!! Kwan toka waoane mambo ndo yamekua
upside down!!"
Hapo ndipo nilpokuja kukubali Yale ambayo nimewashuhudia kuna baadhi ya
wanawake ukiwa nao tu mambo yanakuwa yanakunyokea sana had unahis
tofauti ( imenitokea)
Pia kuna jamaa mwingine alioa mwanamke mambo yakawa yananyokaa
alipomuacha mambo yake yakawa hayaendi walivorudiana nae mambo yakawaka
tena!!
Nilshasikia hata mahubir ya dini nanukuu "kama Kijana unahangaika
kufanikiwa hufanikiwi bas subir ukioa hapo nyota yako yaweza ng'arishwa"
HITIMISHO
Mwanamke utae muoa ndie anadetermine nyota yako ing'ae,au ififie
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment