Muigizaji wa Bongo movie na 'baby mama' wa Mbunge wa Mbeya Mjini maarufu kama Sugu afunguka Instagram kuhusu mapenzi yake kwa mzazi mwenzie na kutoa tambo za kutosha kuwa hata Sugu akioa nyumba na mali zote za mbunge huyo ni za mwanae Desderia Sasha na hivyo akikua atarudi kwa baba yake.
Faiza pia aliendelea na kumponda mtarajiwa wa Mbunge huyo kuwa ameshawahi kuolewa na kuachika hivyo hawana tofauti.
Sasa Faiza, wivu wa nini jamani?...wewe hutakagi kuwa 'judged' ila unavyomjudge mwenzio unajua kilichomfanya akatoka ndoani? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment