Please join me to Salute another Tanzanian hero hapa Lagos Super Star
Lulu Michael kwa kushinda tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki (Best
Movie – East Africa) kupitia Mapenzi. Muigizaji huyo alijikuta akilia
kwa furaha wakati akishukuru kushinda tuzo hiyo.at
"2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" ....SALUTE SISTER NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment