Kupitia mahojiano yake na radio moja Nuh alikiri kuwa huyo ndiye baby number one wake kwa sasa na anaishi Oman na amekuja Tanzania kwa muda tu.
“Ni mpenzi wangu ila aishi hapa amekuja kutembea kwa sababu tulianza ku date tangu yupo nje kwa hiyo amekuja sa hivi tumeanza mapenzi yetu rasmi..yeye anaishi Oman” alifunguka Nuh na kusema kwa sasa hataki kuzungumza mengi anaangalia upepo kwanza.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment