Ajali hiyo imetokea Asubuhii katika kijiji cha Kwa Bastola pembezoni kidogo mwa mji wa Tanga. Ajali hiyo imehusisha basi linalosafirisha abiria SIMBA na roli. Basi la simba likitokea Tanga kuelekea Dar es salaam. Inaripotiwa watu wengi Kupoteza maisha.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINIBreaking news: Ajali mbaya yatokea maeneo Ya Tanga.
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment