Rapper huyo aliyasema hayo kwenye mahojiano yake na kituo kimoja cha Tv na kuongeza kuwa ndoa ni wito,ukimwita ataitika
“Ndoa ni wito kuna sauti huwa inakwambia kabisa huu ndio muda wako,sauti hiyo kila nikiiita nasikia mwangwi tu” alisema A.Y na kutania kuwa mpaka swahiba wake Mwana Fa aoe kwanza maana yeye ndio mkubwa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment