Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kimejipanga katika kutoa taarifa. Tumeona J. Makamba akitaja majimbo yaliyovunwa na chama hicho.
Lakini kwa UKAWA mambo ni tofauti na ni wazi Afisa habari wa CHADEMA,
Tumaini Makene, umeshindwa kazi, Makene ameshindwa hii kazi? (iwapo
Makene ni wa chama sio wa UKAWA lakini kwa ukubwa wa CHADEMA ndani umoja
huu, ni vema Makene akatoa idadi ya majimbo na maendeleo ya majimbo
mengine ili wafuasi wao wawe updated).
Kwa sasa wafuasi wa UKAWA hawana cha kujibu kwa vile hawana taarifa za
jumla iwapo vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti, lakini sio kwa
utaratibu wa kufanya watu wapate summation.
Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may occupy our attention, but they do not define us. By Mitt Romney WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment