Justin Bieber aliweka headlines usiku wa tuzo za MTV VMA’s baada ya kuperform wimbo wake mpya uitwao ‘What Do You Mean?’ ikiwa ni mara ya kwanza kwake kuperform kwenye tuzo hiyo ndani ya miaka 5.
Good news kwa wewe shabiki wa Justin, official video ya wimbo wake mpya umetoka kama hukubahatika kuitazama live performance ya wimbo huu basi karibu uitazame video yake mtu wangu.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Good news kwa wewe shabiki wa Justin, official video ya wimbo wake mpya umetoka kama hukubahatika kuitazama live performance ya wimbo huu basi karibu uitazame video yake mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment