Tanzania bado ipo kwenye headlines kutokana na kuwa na vivutio vyake vya Utalii, Zanzibar ni moja kati ya sehemu za Tanzania zinazojulikana sana duniani kutokana na historia yake, msanii wa Marekani Belly kaimba wimbo ft Juicy J na kuuita Zanzibar, tazama hii video hapa chini uwe na miaka 18+
Pamoja na kuitaja Zanzibar video yenyewe haijaonyesha hata picha moja ya Zanzibar, itazame hapa chini
0 comments:
Post a Comment