Mara baada ya taarifa ya habari ya saa 2 usiku Star Tv wamerusha kipande kidogo cha CCM kilicho na maneno ya Baba wa Taifa akieleza juu ya kununua uongozi huku kikiwa kimeambatana na picha za Mh. Lowasa akikabidhi bahasha kwa watu mbalimbali hususani viongozi wa dini na badae kimemalizia na picha za kampeni za CCM.
Kwa tafsiri yangu ni kama igizo fulani lenye maudhui ya Mh. Lowassa kununua uongozi, kama ni kweli kwanini wasimpeleke mahakamani ili ikathibitike huko?
Je, hii ni sawa kwa vyombo vya habari kurusha maigizo ya namna hii yenye lengo la kumchafua mtu?
Source:JamiiForms
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Source:JamiiForms
0 comments:
Post a Comment