Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » LOWASSA na ELIMU YA BURE CHUO KIKUU inawezekana Kwa Kufanya Yafuatayo

LOWASSA na ELIMU YA BURE CHUO KIKUU inawezekana Kwa Kufanya Yafuatayo

1.Elimu ya BURE inawezekana kwa kuachana na mbio za MWENGE za kila mwaka zinazogharimu Trillion 1.5 na zaidi

2.Elimu ya bure Inawezekana kwa SERIKALI YA LOWASSA ambayo imepanga kufuta MSAMAHA mirahaba ya KODI YA MADINI inayofikia kiwango cha Trion 4.5 kwa Mwaka ambayo serikali ya CCM imekalia kimya coz ni washirika Wa mikataba hiyo.

3.ELIMU ya bure inawezekana kwa kuongeza suala zima la mawasiliano na uchukuzi ili UTALII uongezeke nchini

4.ELIMU ya bure inawezekana kwa Serikali kuwekeza katka katika VICOBA mijini na vijijin vyenye wastani Wa kuingiza zaid ya trion 1.5 kwa mwaka

5.ELIMU ya bure inawezekana kwa kufuta KODI KAMPUNI KUBWA kama vile Mitandao ya Simu na hotel kubwa like( HOLDAY TAX) ambapo serikali ya CCM hupoteza zaidi ya billion 950 kila mwaka

06.ELIMU bure chini ya LOWASSA inawezekana kwa Kuharakisha kuendesha kesi mahakamani na kutoweka gerezani kwa muda mrefu MAHABUSU ambao hugharimu zaidi ya billion 690 kila mwaka.

7.ELIMU bure inawezekana kwa kupunguza idadi ya BARAZA LA MAWAZIRI NA MASHANGINGI kama LOWASSA alivyosema awali ambao chini ya serial I hii ya CCM hugharimu zaidi ya bilion 896 kwa mwaka chini ya CCM.

8.ELIMU bure inawezekana kwa kupunguza safari za RAIS kwenda kuomba misaada nje ambazo hugharimu zaid ya bilioni 300 kwa mwaka.

09,Elimu ya bure inawezekana kwa kukusanya ushuru Wa FORODHA ipasavyo ambapo serikali hupoteza zaidi ya billion 900 kila mwaka.


10.ELIMU ya BURE inawezekana kwa kumchagua LOWASSA kuwa RAIS WA TANZANIA 2015-2020

Na kuhusu HOTUBA,kama RAIS NI KUONGEA basi kuanzia nyerere hadi JAKAYA TANZANIA ingekuwa kama MAREKANI

LOWASSA...MABADILIKO
MABADILIKO ....NA LOWASSA WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips